Nauza I pad

Nauza I pad

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu nauza I pad 3 kwa Tshs 900,000/=, maongezi yanaruhusiwa.
 
Wakuu nauza I pad 3 kwa Tshs 900,000/=, maongezi yanaruhusiwa.

Ningekushauri uweke picha na maelezo ya kutosha ( eg: mpya au ya zamani. 3G au Wifi) ili kuondoa utatanishi kwa wanunuzi


Sent via EyePhone
 
Haina shida wakuu muda si mrefu ntaweka full details
 
Nna nyingine ni i Pad 2, Wi-fi ,16 GB hii naiuza kwa Tshs 800,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom