viti ,meza na friji za makampuni

viti ,meza na friji za makampuni

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,039
wadau kwa anayefahamu utaratibu wa kupata viti ,meza na friji kutoka kwenye makampuni ya soda(pepsi & cocacola) na bia kwaajili ya Bar ,naomba anifahamishe.
 
Nenda kwa mawakala wa hayo makampuni!! Wakikuzungusha nenda ofsi zao zilipo!ukifika we waambie nahitaji hiki na hiki! Watakuomba namba yako ya simu! Hivyo wao wataagiza mawakala wao wakuletee
 
Nenda kwa mawakala wa hayo makampuni!! Wakikuzungusha nenda ofsi zao zilipo!ukifika we waambie nahitaji hiki na hiki! Watakuomba namba yako ya simu! Hivyo wao wataagiza mawakala wao wakuletee

aksante mkuu!
 
Back
Top Bottom