Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,060
- 27,117
Ikiwa bado ni siku kadhaa kabla ya mfumo wa Analogue Broadcasting kuzuiwa rasmi, Watanzania esp. wakazi wa jiji kuu wapo katika pilikapilika za ununuzi wa ving'amuzi ili waendelee kupata huduma ya mawasiliano ya Televisheni.
Kuna kampuni tatu zilizopewa leseni na TCRA ya kuwa kama Multiplex Operators, ambazo ni Star Media (T) Ltd, Agape Associates Ltd na Basic Transmission Ltd. Sambamba na utoaji wa huduma ya multiplex, pia zinajihusisha na uuzwaji wa ving'amuzi. The two former companies zimejaribu kujitangaza, lakini sasa hii Basic Transmission Ltd naona haijafanya juhudi kubwa kujitangaza ili tujue ving'amuzi vyake vina features gani kuzipiku hizo nyingine. Walau jana niliona wanatangaza king'amuzi aina ya DigiTech, lakini sikupata vizuri physical contacts zao au hata phone/e-mail address. Mara nyingi huwa sipendi kufanya manunuzi kwa kukurupuka kuepuka kujaza ndani vitu visivyo na tija, ndio maana nimekuwa natumia muda kidogo kufanya utafiti kipi ninunue na kipi kisicho cha lazima
Kwa mkuu anayejua jamaa walipo au mawasiliano yao naomba anipatie humu