Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanaJF, Kwa mtu anayefahamu kampuni zinazouza madini hapa Tanzania tafadhali naomba anijuze. Au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata madini ya Wolfram(Tungsten Trioxide). Tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Nyumba ya vyumba viwili (kimoja ni master), sebule na jiko inapangishwa, parking ya gari 2. Bei ni laki 2 kwa miezi 6! Ipo hatua barabarani kabisa (Moshi-Arusha road) na ni moja kati ya nyumba 4...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
kama unayo ongea bei mi mwisho wangu kilo na 30!
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Sehemu kubwa kiasi tambarare inakinyumba cha vyumba 2 nachoo yombo kwaalbowa mkoa dar wilaya temeke Barbara yalami naumeme nguzo IPO uwajani kwan kwenye ivyohaujaingizwa umeme ukubwa mit 35 urefu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau natafuta fremu arusha lakini iwe sehemu ilichangamka
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Samsung Digital camera in good condition for sale. PM Please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye kujua utaratibu wa kupata fremu eneo hili anijuulishe, niliwahi kuulizia nikaambiwa huwa linakodiswa kwa square meter.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NAUZA GARI, NI TOYOTA MARK 2, GX 100, BM 2000, YA MWAKA 2008,BEI MAELEWANO, IPO KATIKA HALI NZURI INATEMBEA! Ipo morogoro.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Viwanja vipo sehemu nzuri ambazo zinafaa kwa makazi , mji tayari umeendelea katika kiwango cha kutosha , huduma zote muhimu zipo. kuna viwananja vya 25 x 35 bei 2,800,000 na 30 x40 bei 3,800,000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shamba linauzwa. Lina ukubwa wa ekari mbili Lipo karibu na Luther Girls School Bagamoyo Eneo zuri sana kwa Biashara kubwa, Makazi na hata kilimo Bei ni 120mil. Madalali hawatakiwi. PIGA 0652351207
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza kiwanja changu ,kipo Dar es Salaam, Mbezi Salasala – Kinzudi. Unaweza kufika kupitia Mbuyuni(Bagamoyo road). MAELEZO YA KIWANJA; Kiko umbali wa mita 200 kutoka stendi ya daladala ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inauzwa kwa sh. 350, 000. Nipo Dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo la hekari 19 linauzwa ,lipo mkuranga manambaya linafaa kwa matumizi mbalimbali .kama shamba , makazi au kupima viwanja ,chuo,mambo ya kidini nk. lipo mkuranga mwanambaya mkoa wa Pwani ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Iphone 5 16GB, white in color na ni mpya haijatumika kabisaaa. Bei ni 1 million. Sellers location: Dar Phone: 0655003510 Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Nimewahi kutuma magari mengi kutoka Japan pamoja na makontena kutoka Marekani, lakini experiences zangu zinatofautiana sana kuhusiana na uwezo, uaminifu na gharama za kutoa mzigo wako kutoka...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
habari wakubwa naishi Mwanza na ninafanya hizo mambo!na nina mpango wa kufungua my own photo studio ya kisasa hapa Mwanza na hiz ni moja ya kaz zangu chache(mwanamume aliyekaa ni pic yangu halisi)...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ina memory card 1 yenye program ya kuchezea flash pamoja na flash disk 4 GB yenye gem mbili ndani yake Bei ni 150,000
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anything Express is a leading sourcing and export company based in the UK and Dubai with a massive clientele base in East Africa. We deal with the sourcing and export of all types of items and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii nimenunua vitu vya dry cleaners nimenunua mashine ya kufulia 12kg mashine ya kukaushia 12kg masine ya kufungia nguo mashine ya kusafisha carpet generator 3 phase hanger ya kuwekea nguo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sichagui sana lakini haya ni kati ya yale nitakayoyaangalia zaidi Android angalau 4.0 (Ice cream Sandwich) Camera angalau 5mp Display screen kuanzia 3.5 - 4.5 inch Niko Dar, mwenye hilo deal ani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…