nickname
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 544
- 151
Nauza kiwanja changu ,kipo Dar es Salaam, Mbezi Salasala – Kinzudi. Unaweza kufika kupitia Mbuyuni(Bagamoyo road).
MAELEZO YA KIWANJA;
BEI : SH 12M (Shilingi Milioni kumi na mbili maongezi yapo)
MAWASILIANO
EMAIL: davifrs@yahoo.com
SIMU : 0654167310 au 0716727303
MAELEZO YA KIWANJA;
- Kiko umbali wa mita 200 kutoka stendi ya daladala ya Kinzudi
- Kiwanja ni tambarare na kina nguzo katika mipaka yake
- Umeme na maji yako karibu
- Ukubwa ni 33m-urefu kwa 22m-upana(33x22)
- Barabara inafika hadi kwenye kiwanja
- Kina hati ya serikali ya mtaa
- Kinafaa kwa makazi na ujirani ni wa uhakika
- Atakayewahi ndio atakayeuziwa fanya hima
BEI : SH 12M (Shilingi Milioni kumi na mbili maongezi yapo)
MAWASILIANO
EMAIL: davifrs@yahoo.com
SIMU : 0654167310 au 0716727303