Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
NAUZA GARI, NI TOYOTA MARK 2, GX 100, BM 2000, YA MWAKA 2008,BEI MAELEWANO, IPO KATIKA HALI NZURI INATEMBEA! Ipo morogoro.
GX 100 ya 2008 au unamaanisha iliingizwa 2008 bongo? mbona hawatoi tena GX 100 zilishaachwaga kutengenieza tangu 2002 hzo, sasa hivi wanatoa Mark X...aiseeNAUZA GARI, NI TOYOTA MARK 2, GX 100, BM 2000, YA MWAKA 2008,BEI MAELEWANO, IPO KATIKA HALI NZURI INATEMBEA! Ipo morogoro.0718445857
Iliingia mwaka 2008, then nauza gari lipo moja tu, ni mark two gx 100 @ Kig. Picha nitaweka wala hakuna shaka.