ANNOUNCEMENTS:
1 Bed room Service Apartments at Nelly's Inn Mbezi Beach:
Nelly's Inn is proud to offer a few Apartments now available for just a fraction of the hotel rates.You get to live in...
Anaeuza hizo engine kwa Mwanza, nahitaj ya kununua kwa ajil gari yangu chaser Avante Gx100 imeanza sumbua kwenye engine hvyo nahitaj badil engine..
Contact zangu ni 0719 075 175
Nyumba iko mtaa wa kimara baruti ni nyumba kubwa mpya na ina mabanda ya uani iko karibu na barabara
ya morogoro
bei inaanzia mil 65 sawa na bure mwenyewe anataka ahamie mkoani
cont.
0714812375
Mbau Group of Companies (T) Ltd, ambayo ni Authorised Distributor wa fuel additive iitwayo Extreme Fuel Treatment (XFT),hii fuel additive hupunguza fuel consumption mpaka asilimia 33...
Wana Dijitali,
Salaam. Nime fall kwa hii VW golf, sasa b4 maamuzi ningependa pata ushauri kuhusu Bei, upatikanaji wa spea, uimara na mengineyo. Katika pita pita zangu, nikaulizia kwenye Yard flani...
Unataka kuuza au kununua kitu? Una duka au we ni dalali? Unatafuta kiwanja, nyumba, vifaa vya electronics, magari nguo, n.k?
Jibu lako ni www.zebigsupermarket.com
Weka tangazo lako ndani ya...
Ndugu wana wa JF nina LAPTOP computer nauza kwa bei nafuu kabisa.
Kabila lake ni HP EliteBook
Windows 7 Royale XP
C.P.U model Intel(R) P 8600 @ 2.40 GHz
Ram 2Gb
Hard Disk 500
Inasehemu ya...
Hard Disk: 250GB
RAM: 2GB DDR2
LCD screen: 15.6 HD video
CPU: Intel Celeron
Processor: 2.20GHz Dual Core
4 hours battery life
Bluetooth and 5 in 1 card reader
DVD-Writter 8x Speed
Webcam
OS...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mfanya biashara na nina plan za kufungua kampuni na kuwekeza kwenye sector ya ujenzi. Nilikua natafuta mashine za:
1. Kusaga mawe na kutengeneza kokoto na changarawe...
Habar ndugu zang.
kampuni ya jassie and company limited inatangaza nafasi za kazi ya civil engineer and land surveyor experience inayotakiwa ni miaka5 na kuendelea. tafadhali wajulishe wote.
GARI LA KUKODI MJINI DAR 2 DAYS LINAHITAJIKA IWE X-TRAIL OR HARRIER (self Driving), kwa yeyote anayejua pa kupata hiyo gari naomba msaada wa kunielekeza aidha hapa au PM ikiwezekana naa rate...
Habari wana jukwaa.
Ninahitaji la kununua pikipiki tatizo sijui lolote juu ya hizo pikipiki zaidi ya kuendesha tu. Kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie ushauri kuhusu uimara, vifaa, maduka...
Ni gari nzuri ya mwaka 2004. Ipo katika hali nzuri na inafunctions nyingi, imelipiwa kodi January 2013, Imelipiwa bima Comprensive January 2013. Well serviced and maintained
Ndani ina kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.