Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Two rooms,iwe ubungo,kwa masiliano piga 07120 11110
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GARI LA KUKODI MJINI DAR 2 DAYS LINAHITAJIKA IWE X-TRAIL OR HARRIER (self Driving), kwa yeyote anayejua pa kupata hiyo gari naomba msaada wa kunielekeza aidha hapa au PM ikiwezekana naa rate...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Habari wana jukwaa. Ninahitaji la kununua pikipiki tatizo sijui lolote juu ya hizo pikipiki zaidi ya kuendesha tu. Kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie ushauri kuhusu uimara, vifaa, maduka...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ni gari nzuri ya mwaka 2004. Ipo katika hali nzuri na inafunctions nyingi, imelipiwa kodi January 2013, Imelipiwa bima Comprensive January 2013. Well serviced and maintained Ndani ina kila kitu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Anayeuza galaxy tab 2 anicheki kwa no.0655 44 44 40
0 Reactions
0 Replies
876 Views
kwa mahitaji ya huduma mbalimbali za mifugo kama vile matibabu chanjo ushauri na upatikanaji mifugo kama ng!ombe wa kisasa mbwa kuku kuuza au kununua tuwasiliane kwa no 0714134004 or...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
habari wana jamvi. naomba kuuliza kuna uwezekano wa kupata nyumba eneo la nje ya kidogo ya dar kwa milioni kumi? sio mpya ni zile ambazo ukinunua lazima ufanye marekebisho.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
glass blocks for constructions of windows / making partitions / making side show for doors.
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Jamani kwa wanao hitajii hii biashara ya zinc ndani ya bongo kuanzia pakeg ya 25kg to 50kg...ani pm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nokia e63 inauzwa 80000/= nko mwanza piga 0764339400 Welcome
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Ninauza madirisha ya mninga,nayatoa mkoani. Kwa sasa ninayo ya futi 5x6,bei nafuu, yana ubora wa hali ya juu.Waweza kutoa oda kutokana na vipimo vyako.Piga 0718908594 na 0784 944028
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta gari kati ya hizi hapa (Carina, Mark II, Caldina, Stalet) iwe katika hali nzuri na yenye nyaraka zote muhimu ambazo sio questionable. Whoever has please contact me at 0716 260 774 (Do not...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chumba na sebule. Cha kulala ni self contained. Na kuna bafu na choo tena ipo kwa nje which means wageni ama ndugu watakuwa wanalitumia watakuwa hawatumii bafu lako la ndani. Ni kimara baruti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mtu anae hitaji kuku na mayai ya kuku wa kienyeji wasiliana nami kwa namba 0756868912 bei yao kwa mtu anae chukua kuanzia kuku 20 ni shilingi 10000/= kwa kila mmoja wana umli usiopungua miezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Flat ya kupangishwa inahitajika MWANZA. Lazima iwe na Master Bedroom na ikiwa Mjini ndio first priority. Iwe Ground au First au Second floor tu.
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Wakuu nauza kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili na sebule cha ukubwa wa robo eka Chanika karibu na kituo cha daladala cha Chanika. Eneo ni zuri sana watu wamejenga majumba mazuri ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauza raum ya mwaka 2000 bei Poa. Nimenunua gari nyingine..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni gari aina ya mitsubishi pajero mini, ipo katika hali nzuri, :welcome:
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari wakuu, nauza hii tablet ya Asus Nexus 7 Na in support sim card na wireless so unaweza itumia kama simu na matumizi mengine makubwa. Ina specification zifuatazo, Ram 1gb Android os 4.0.1...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Apple MacBook (13.3-inch) Processor type: Intel Core 2 Duo Speed: 2.4 GHz RAM: 250GB PRICE: TSHS 680,000 BUT VERY NEGOTIABLE KAMA UNAHITAJI NICHEKI KWA WHATSAPP AU KAWAIDA 0713218388 E-mail...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom