Msaada.

Msaada.

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
54,591
Reaction score
127,079
Habari wanaJF,

Kwa mtu anayefahamu kampuni zinazouza madini hapa Tanzania tafadhali naomba anijuze. Au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata madini ya Wolfram(Tungsten Trioxide). Tafadhali naomba msaada wenu.
 
Yaani hamna anayeijua habari hii jamani?

Utapata kidogo mambo yakiwa fresh, pls!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom