Laptop Acer eMachine E525 for TZS 350,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Specification:
Hard Drive: 250GB
Ram: 2GB
Processor: 2.20 GHz Dual Core
DVD writter 8x speed
5 in 1 card reader
Webcam 1.3 megapixel
15.6 inch lcd
4 hours battery life

Bei ni TZS 350,000/= tu

Nipigie: 0655003510 na nipo Dar
e7uqa6uj.jpg

7ahu7usa.jpg

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Muonekano wake mbaya sana hii itaniogopesha uck na kwa vile nalala peke yangu,,,!
 
Najua ww sio mnunuzi, wanunuzi wa kweli washapiga simu. Ko hata hizo picha nikikuwekea hazitakusaidia kitu! Asante kwa kupita hata ivo.
Pga picha uiweke. Usituwekee pcha za google

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Kuandika hii comment tu umetumia simu ya wazazi wako au computer ya rafiki yako. Ko mm na ww hatuendan' endelea kuomba hela kwa baba na mama me napiga maisha. We uwe unakuja kwenye post z watu unapiga porojo huku ukisubiri kutengewa ugali wa bure ule.
Muonekano wake mbaya sana hii itaniogopesha uck na kwa vile nalala peke yangu,,,!

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Specification:
Hard Drive: 250GB
Ram: 2GB
Processor: 2.20 GHz Dual Core
DVD writter 8x speed
5 in 1 card reader
Webcam 1.3 megapixel
15.6 inch lcd
4 hours battery life

Bei ni TZS 350,000/= tu

Nipigie: 0655003510 na nipo Dar
e7uqa6uj.jpg

7ahu7usa.jpg

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

Mkuu, ni mpya au used/ If used for how long. Kwa nini unaiuza (Unaweza kudhani siyo muhimu, lakini ni vizuri nikajua kama unaiuza kwa kuwa ina tatizo au ndo biashara n.k). KAMA ni used na haina tatizo, njoo nayo DIT uchukue sh. 280,000
 
Specification:
Hard Drive: 250GB
Ram: 2GB
Processor: 2.20 GHz Dual Core
DVD writter 8x speed
5 in 1 card reader
Webcam 1.3 megapixel
15.6 inch lcd
4 hours battery life

Sorry mkuu, hiyo nyekundu ina maana gani?
 
Najua ww sio mnunuzi, wanunuzi wa kweli washapiga simu. Ko hata hizo picha nikikuwekea hazitakusaidia kitu! Asante kwa kupita hata ivo.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

Kama ishapata mnunuz basi futa upuuz wako.
 
Ni imported toka nje kaka, kwa hapa haijatumika kabisa. Na kuhusu sababu ya kuiuza jpili nasafiri kwenda kuchukua mizigo mingine na inabd niuze mzigo wote ili niondoke. Haina tatizo lolote lile! Bei ndo hiyo kaka, samahan sintoweza chukua ofa yako! Uko chini sana
Mkuu, ni mpya au used/ If used for how long. Kwa nini unaiuza (Unaweza kudhani siyo muhimu, lakini ni vizuri nikajua kama unaiuza kwa kuwa ina tatizo au ndo biashara n.k). KAMA ni used na haina tatizo, njoo nayo DIT uchukue sh. 280,000

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Used toka nje. Hapa Tanzania haijatumika! Haina mikwaruzo wala tatizo lolote, sababu ya kuiuza nimeweka hapo.
ni mpya au used?

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Ni imported toka nje kaka, kwa hapa haijatumika kabisa. Na kuhusu sababu ya kuiuza jpili nasafiri kwenda kuchukua mizigo mingine na inabd niuze mzigo wote ili niondoke. Haina tatizo lolote lile! Bei ndo hiyo kaka, samahan sintoweza chukua ofa yako! Uko chini sana

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Okay. vizuri kaka. ngoja nidundulize tena. Kama bado itakuwepo nadhani jmosi nitakuwa na hela. Nimeipenda sana hii laptop
 
Haya ww tajiri unayeganga njaa kwa kuuza vicomputa uchwara!
Kuandika hii comment tu umetumia simu ya wazazi wako au computer ya rafiki yako. Ko mm na ww hatuendan' endelea kuomba hela kwa baba na mama me napiga maisha. We uwe unakuja kwenye post z watu unapiga porojo huku ukisubiri kutengewa ugali wa bure ule.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
We kula kulala u got nothing on me bro. Get lost!

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

hapo ndo naona umeshajitaja......... kama ushapata mnunuzi sasa kwa nini bado waipigia debe? tangazo lenyewe hujalipia halafu una mdomo kama shori
 
Kumbe na ww umemuona!! Hizi emachine mbovu kinyama afu spare zake adimu!! Naamini hawezi kuiuza kwa hiyo bei! Nmempigia kwa kumkejeli amefikikir amepata mnunuzi!! Nakutania jombah sinunui huo uchafu!

halafu eti anazuga kuwa anataka kuiuza ili aende nje akachukue nyingine... hahahahahaha hawa machalii waliookoteza zero form four wana vituko sana yaani.... kilaptop chenyewe kibovu ndio maana hata hawezi kuweka picha humu
 
hahaha napita tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom