Kiwanja Kinauzwa kipo Chamazi Dar es Salaam

Kiwanja Kinauzwa kipo Chamazi Dar es Salaam

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
477
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa,kipo chamazi Dar es salaam,ni kilometre 4 kabla hujafika Azamu Complex.Kina ukubwa wa mita 70X40 bei ni millioni 4.5 hela ya Kitanzania.Dalali hatakiwi,piga moja kwa moja 078415611 au 0713993068 au 0756313168
 
Back
Top Bottom