Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ina memory card 1 yenye program ya kuchezea flash pamoja na flash disk 4 GB yenye gem mbili ndani yake Bei ni 150,000
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anything Express is a leading sourcing and export company based in the UK and Dubai with a massive clientele base in East Africa. We deal with the sourcing and export of all types of items and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii nimenunua vitu vya dry cleaners nimenunua mashine ya kufulia 12kg mashine ya kukaushia 12kg masine ya kufungia nguo mashine ya kusafisha carpet generator 3 phase hanger ya kuwekea nguo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sichagui sana lakini haya ni kati ya yale nitakayoyaangalia zaidi Android angalau 4.0 (Ice cream Sandwich) Camera angalau 5mp Display screen kuanzia 3.5 - 4.5 inch Niko Dar, mwenye hilo deal ani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Jf, ninauza gari aina ya ISUZU TROOPER. Year of Manufacture. 1996 Color. Silver Engine capacity. 2700 odometer. 160000 Fuel. Diesel Good condition. ipo Arusha. Bei ni 10M, maelewano yapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari moja,(mita 70x70) lipo Buma kiromo bagamoyo.ni shamba zuri na tambarare.Kwa mwenye kuhitaji au maswali apige namba 0717 166455
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Highlights: Type: Touch screen phone OS: Android 4.0.4 CPU 1.2GHz Dual core ROM: 4GB RAM: 1GB Battery: 3400mAh Li-ion Capacitive touch (5-point) screen Network frequency: GSM...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nasisitiza piga hizo namba hapo juu kwamahitaji ya kutengenezewa mageti, grill za milango na madirisha,vitanda vyachuma kwa matumizi ya nyumbani, hostel,guest house, pia viti vya chuma kwamatumizi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mwenye tatizo lolote au mwenye kuhitaji ushauri unaohusiana na satelite dish such as DSTV,ZUKU,FREE TO AIR DISH,TV HOTEL tuwasiliane! Cont:0788 405060
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1 TB external hard disk warrant miaka miwili kwa 180,000 tuuu.... ofaaa.. 0764435828
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye hiyo simu, mpya au used aniPM tufanye biashara. Thanx in advance.....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
King'amuzi aina ya startimes kinauzwa bei 30,000 kina muda wa miezi miwili toka kinunuliwe, kinafanya kazi vizuri na kimelipiwa mwezi mmoja kifurushi cha mambo. Nipo Dar namba 0787526457 piga au...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Waheshimiwa naomba kwa mtu yeyote mwenye Photocopy aina ya CANON NP 2120 tuwasiliane hata kama mbovu kwani mimi nahitaji kupata spare inayojnulikana kwa REGISTRATION ROLLERS. au zile roller...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Ipo eneo la soko kuu,ina vyumba vitano na pia ina umeme.bei ni milioni 60.piga namba 0713214398
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi there, I jailbreak all kind of iPhones and iPad for only TZS. 15,000/= and install paid applications like Whatsapp, Doc To Go Premium etc. Call: 0655003510 Sent from my BlackBerry Bold...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Hi, I do factory unlock all kind of iPhones at cheap prices depending on the carrier where the phone is locked to. The unlock process take 1 - 24 hrs. Just make a call and submit your IMEI number...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
MINI S ANDROID PHONE, 1YR Warranty It is is a Android 4.1 Smartphone which have all the Apps you need to meet your business and pleasure needs. Take the touch screen cell phone with you and take...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
PS2 iliyo katika ubora mzuri, with 2 controllers inahitajika haraka, nipo mwanza mwanza! bei isiwe ya kukomoana. :israel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..kama kuna mtu yeyote anyeuza playstation2 ambayo bado ipo kwenye hali nzuri naomba tuwasiliane basi tufanye biashara anaweza kunicheki pm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom