Mashine bora za sido tdc kilimanjaro

Mashine bora za sido tdc kilimanjaro

enstein1

Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
68
Reaction score
29
Ndugu wanajamii,

Sasa umepita ule wakati wa kuagiza bidhaa zenye ubora dhaifu kutoka nje, SIDO Technology Development Centre, Kilimanjaro hivi sasa tunatengeneza mashine bora za ubunifu na viwango vya juu vya ubora kwa bei inayolingana kwa ajili ya wajasiamali wadogo na wa kati. Tafadhali fungua kiambatanisho kwa kujionea mwenyewe.

Karibuni
 

Attachments

safi sana na haya ndio mambo ya msingi kwa maendeleo ya mtu mmojammoja na taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom