salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
1. Shamba ekari 110 liko kiwangwa bagamoyo linauzwa shs 1,000,000 kwa eka linafaa kwa kilimo cha mananasi
2. Shamba ekari 50 liko mtibwa turiani linauzwa shs 4,000,000 kwa eka linafaa kwa kilimo cha miwa ya sukari
3. Shamba ekari 8 liko kaole bagamoyo mita 200 toka baharini linauzwa milioni 50 kwa eka linafaa kwa ujenzi wa hoteli au campsite
4. Godauni la mazao liko dumila kando ya barabara ya dodoma linaweza kutunza tani 50 lina mashine kubwa mbili za kukoboa mpunga bei milioni 70 unatoa milioni 20 halafu milioni 25 kila baada ya miezi sita.
Tuwasiliane 0786 021840