D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 553 Feb 21, 2013 #1 Kwa walio interested, BB STORM 9530 mpya kabisa inauzwa Tsh 350,000/=. Nicheki 0713460709
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,102 Reaction score 8,771 Feb 21, 2013 #2 Je naweza kuitumia kwa intaneti kwa maana zimekuwa locked kwa mitandao ya kibongo kutumia intanet,kama ndio ni mtandao gani inakubali
Je naweza kuitumia kwa intaneti kwa maana zimekuwa locked kwa mitandao ya kibongo kutumia intanet,kama ndio ni mtandao gani inakubali
D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 553 Feb 21, 2013 Thread starter #3 Iko fiti kwenye net imeshafunguliwa. Pia haina habari za BBM na mtandao wowote unakubali
M MABAGHEE JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 682 Reaction score 126 Feb 21, 2013 #4 Weka picha ndugu.
D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 553 Feb 22, 2013 Thread starter #5 Picha hizo za BB storm 9530 Attachments bberry-storm-veriz-hero_duo.jpg 26.4 KB · Views: 53 verizon_blackberry_storm_9530.jpg 30.5 KB · Views: 61
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Feb 23, 2013 #6 Kumbe hizi simu hazina BBM mbwembwe zote hizo za matouch touch? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kumbe hizi simu hazina BBM mbwembwe zote hizo za matouch touch? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Feb 23, 2013 #7 laki mbili hii hapa km fresh ni PM