Gari aina ya starlet inauzwa mwanza

Gari aina ya starlet inauzwa mwanza

Fufuman2

New Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Gari inauzwa aina ya starlet 1992 gt turbo , rangi ni black ina hali nzuri , bie ni 4.5 , more information call 0765044100
 
Huwa tunaangalia picha kwanza then we can take trouble to make calls
 
milango mingapi? Odo inasomaje? weka hizo data niku cash
 
Daah hii gari bado haijanunuliwa tu, ingekuwa Dar tayari ingeshanunuliwa wawekee picha wadau ili waione.
 
Daah hii gari bado haijanunuliwa tu, ingekuwa Dar tayari ingeshanunuliwa wawekee picha wadau ili waione.

mkuu nina starlet dar kwa same price 4.5 iko safii kabisa ukiitaji nicheki hewani nikutumie picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom