Namtafuta Makusaro

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,584
Namtafuta huyu demu..sijui yuko wapi siku hizi? Anayejua anishtue basi

Yo Yo humjui huyu...yuko matawi ya juu
 
Unisex hilo jina....

Najua kuna njemba moja inaitwa Makusaro Tesha....sio hilo lijamaa....huyu ni demu
 
Try Google search or search within Facebook.My queries returned some hits.
 
makusaro nani? mi namjua makusaro mogaeka. alikua chotara wa kijerumani. nami nina hamu sana ya kumuona mara ya mwisho nilimuona forodhani secondary mwaka 1993. ukimpata nishtue na mie
 
Naona umekosea huyu MAKUSARO ni mwanaume anaitwa MAKUSARO TEMBA ni mzaliwa wa kijiji cha MWASI KASKAZINI, URU KISHIMUNDU, na kata ya URU MASHARIKI kwa sasa hana dili lolote anafanya kazi nyumbani kwa mshikaji mmoja hapo Kishimundu.Bwana Makusaro hana contact zozote labda uache za kwako kuna mtu naweza kumpatia akakuunganisha naye.
 
Mbona hiyo jina ni ya kiume na umesema ni demu?

NN,umefulia! mkuu Makusaro ni jina la kiume,asili yake linatumiwa na Wachaga likiwa na maana ya mawazo...... ha ha ha ha ha eeeeeehe!!! teh teh teh koh koh koh koh!!!!
 
NN, pale SRSS kulikuwa na chotara mmoja kwa jina la Pilla unamjua?
 
makusaro nani? ..................... alikua chotara wa kijerumani. nami nina hamu sana ya kumuona mara ya mwisho nilimuona forodhani secondary mwaka 1993. ukimpata nishtue na mie

Wandugu,, mkimuona na mi mnijulishe , simfahamu,simjui, lakini kwa reputation iliyopo I catching the train!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom