Nyumba inauzwa Morogoro

Nyumba inauzwa Morogoro

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5m mazungumzo yapo pia,mwenye kuwa interested ani pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom