ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 121
Wadau, kwa anayejua sehemu wanayotoa training ya pastel naomba anijulishe.
Kwenu wapi mkuu?Ukinunua pastel kwetu unapatiwa na mafunzo.
Mkuu Ngongo, niko Dar es Salaam.Mkuu ng'wanankamba ingekuwa vyema kama ungetuambia unaishi maeneo gani ya JMT ilituweze kukusaidia.
Mkuu Ngongo, nilifanya mawasiliano kwenye ile number uliyotoa, jamaa yuko Arusha na anafundisha Quick book.