Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi...
Kuna msururu wa mafundi wengi ambao wamekuwa wakiwashauri wamiliki wa magari au wao wenyewe kuondoa thermostat katika gari bila kujua umuhimu wa hicho kifaa hasa pale gari inapoanza kuoverhit...
Hii ni Diagnosis ambayo inacover mifumo yote ya gari yako tofauti na OBD2 ambayo kwa mashine nyingi huwa inacover tu faults za engine japo ilitakiwa kucover power train yote(Yaani Engine na...
Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox.
Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF).
1. Standalone ATF
2. Universal ATF
Hebu tunagalie moja baada ya nyingine...
Habari za muda huu wapendwa,
Napenda kuwakaribisha wote mnaotumia au mnaotarajia kutumia bidhaa zitokanazo na miti ya michikichi kama vile;
MAWESE (PALM FRUITS OIL) - hii ni kwa matumizi ya...
HABARI ZA MAPUMZIKO
NINAUZA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA 16-13, KIWANJA HIKI KIPO JIJINI DAR ES SALAAM, ILALA , CHANIKA NYEBU
KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA YA MTAA, NA UMEME UPO,
KUNA...
Habari,
Kwa mahitaji ya vifaa vya umeme, tunapokea order za wateja wetu, tunahakikisha mteja wetu anapata huduma ya uhakika na kwa muda muafaka, kupitia thread hii ntashare products mbali...
Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
Pendezesha sebule yako, office yako, restaurant yako chumbani kwako na geto lako kwa wewe bachelor na mpenzi wa samaki wa mapambo kwa aqurium za kisasa zaid kutoka kelvin aqurium store...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo...
FEATURES INCLUDED WITH ALL PLANS:
- Cpanel Based Web Hosting
- LiteSpeed Web Server with WordPress Cache
- UNLIMITED MariaDB (MySQL) databases, email, FTP accounts
- FREE Unlimited Auto SSL...
Wakuu habari ya muda huu
Vyote vipo katika hali nzuri.
Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni.
Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini.
Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu.
Kitanda pekee bei...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...