Natafuta standing fan (used) ya kununua

mkwawa masawe

JF-Expert Member
Nov 19, 2018
225
345
Natafuta Standing Fan (Fan ya kusimama yenyewe) Iliyotumika. Iwe Fan imara na siyo ya kichina. Ikiwa ni ya India, Uturuki etc ingependeza zaidi.

Iwe na ukubwa size ya kati. Napatikana Boko Magengeni DSM. Mobile 0714000068
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom