Airtel Tanzania and Nokia yesterday jointly launched the Nokia Lumia 620 smartphone that will enable customers of the mobile network provider across the country to access state-of-the-art services...
Habari zenu Wakuu,
Mashudu ya alizeti yanapatikana kwa bei nafuu.
Naombeni muhitaji au kama utakuwa unafahamu
jamaa karibu yako wanahitaji unaweza kuwafahamisha!
nawasilisha.
Nahitaji Samsung galaxy s3, iwe rangi ya blue au nyeusi, na iwe kwenye condition nzuri bila scratches na iwe na accessory zake kama charger na usb cable. Kama unayo nichek 0717301520, au weka...
used for 4 months ipo katika hali nzuri sana,haina mkwaruzo wowote,pia haina shida yoyote
color:black
camera:8MP
memory:internal 8gb,microsd upto 32gb,ram 256mb
processor:680mhz
kitu touch...
wadau kwa mwenye injini ya bajaj platina cc 125 au hata mwenye kufaham duka zinapouzwa naomba anisaidie kunielekeza nina shida na hiyo kitu kwa kununua.
Toyota Raum EXZ100, Station Wagon, Silver, maufactured in 2007, registered in Tz in March 2009, T...AZF, cc 1490, petrol, automatic, a/c, milango 5, inatembea. inauzwa, bei ni TShs. 8,000,000/=.
samsung s3 ipo ktk hali nzuri nimetoka nayo scotland nilitumia for 2 month nina box lake.charger.headset.user manual etc..nauza kwa laki 6na nusu .ni pm kwa maelezo zaidi naishi makongo juu
Simu ni HTC One S imetoka April, 2012, acha kutumia simu za 2009.
Some specs;
Processor; DUAL Core 1.5 Ghz
RAM; 1gb
Internal; 16gb
Camera; 8MP
OS; ANDROID 4.0 (ICE CREAM SANDWITCH)...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mkazi wa dar...Nilikua natafuta wauzaji wa jumla wa mifuko (plastic bags) ya aina zote. Nilikua nataka kununua mzigo mkubwa kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.