Karibuni kizaizai commission agent

Karibuni kizaizai commission agent

Noni na Nsugu

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
94
Reaction score
27
Tunauza magari kuanzia mil 3.Mkopo wa masharti nafuu upo.Karibuni.
Tupo Tabata Dampo,Dsm.
 
NIELEKEZE MKOPO UKOJE, NATAKA ipsum 2.4 au ile ya old model! jibu humu au Ni PM mara moja!
 
samahan mana umesema hata magari ya 3mil yapo,je ni magari gan na yametembea umbali gan na yapo katika hali gan?
 
Nataka GAIA unauza kwa shilingi ngapi?
 
raun new model m ngapi,na kama ni mkopo instalment ya malipo imekaaje.ni watu wa aina gani mnakopesha,gvnt empl au hata prvt employee? halaf jibu maswali ya wadau we supa tall pedesheee kizaizai,mutu mukubwa, au ushaanza kukamata castle na wakongo waki kina nyoshi?
 
Back
Top Bottom