bei ya nokia N900

bei ya nokia N900

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
naomba anayefaham bei ya nokia n900 kwa hapa tz na wap znapatkana kwa urahis
nawasilisha.....
 
naomba anayefaham bei ya nokia n900 kwa hapa tz na wap znapatkana kwa urahis
nawasilisha.....

Mkuu nlikuwa nayo hiyo kama miezi 6 imepita nlimgawia jamaa yangu ilinishinda kutumia,ila kwa tz sina hakika kama utapata labda agiza nje
 
Mkuu nlikuwa nayo hiyo kama miezi 6 imepita nlimgawia jamaa yangu ilinishinda kutumia,ila kwa tz sina hakika kama utapata labda agiza nje

duh kumbe eeh.... So kwa bongo n ngumu sana sa bei yake inakua ipi naomba unijuze
 
mkuu sikushauri kununua hyo maana hela utakayo toa ungeweza kupata simu kali zaidi kwa bei chini ya hiyo nichek hapa 0715425054
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom