rasdavy
Member
- Jun 23, 2012
- 84
- 14
Mimi ni mtaalam na mzoefu kwenye fani ya ubunifu majengo. Natayarisha michoro yote na kuandaa propasal na ushauri wa ujenzi. Pia utapata na 3d view ya jinsi nyumba yako itakavyokuwa. Hii ni kwa kutumia technolojia ya kisasa ya ubunifu majengo. Nyote mnakaribishwa.
Mawasiliano 0714155854
Mawasiliano 0714155854