Tablet nauza fasta nina shida na ela balaa

Tablet nauza fasta nina shida na ela balaa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
ni toshiba AT100 BEI NI 300K ILA KUNA MAELEWANO JAMANI

GB 16
SUPORT WIFI KAMA UNA ROUTER PIA INASUPORT
INA CAMERA
USB-FLASH UNAINGIZA NA KUCHEK MUV
MEMORY CARD PLACE
****WAHI HARAKA NINA SHIDA NA SHEKELI JAMANI,WE NI PM TU TUELEWANE***
 
Lol Samsoni si tulisema,but pole,pia umeonyesha uungwana kwa kuomba msamaha kwa lugha uliyotumia mwanzo,unapouza kitu kwa matangazo inabidi utumie lugha ya ungwana na ya kawaida,naona ushajifunza,nakuombea uuze hiyo tablet,kwani mtu kimfaacho chake
 
nakushukuru sana mkuu
 
kwa laki jaman sitauza waugwana wangu.

Inasuport wifi na ukiwa na roter mambo safi
KARIBUNI WATEJA.
 
ni toshiba AT100 BEI NI 300K ILA KUNA MAELEWANO JAMANI

GB 16
SUPORT WIFI KAMA UNA ROUTER PIA INASUPORT
INA CAMERA
USB-FLASH UNAINGIZA NA KUCHEK MUV
MEMORY CARD PLACE
****WAHI HARAKA NINA SHIDA NA SHEKELI JAMANI,WE NI PM TU TUELEWANE***

Naomba uweke picha mkuu.
Nataka kuiona kwanza
 
lol samsoni si tulisema,but pole,pia umeonyesha uungwana kwa kuomba msamaha kwa lugha uliyotumia mwanzo,unapouza kitu kwa matangazo inabidi utumie lugha ya ungwana na ya kawaida,naona ushajifunza,nakuombea uuze hiyo tablet,kwani mtu kimfaacho chake
huyo ndo yule wa siku ile alikuja kwa mkwara? Tumpe elfu 20 apumzike
 
kwa laki jaman sitauza waugwana wangu.

Inasuport wifi na ukiwa na roter mambo safi
KARIBUNI WATEJA.
hapo hata mimi nakuunga mkono,asavali uiweke tu kuna siku mtu atahitaji,sio sababu eti una shida mtu apate kiubwete,hiyo bei uliyosema ni poa zaidi ya hapo ni maumivu
 
Mkuu,

Kilo 2 utachukua, kama ndio confirm nitakupigia CM mara moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom