Rahajipe
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 165
- 63
Kwa mtu anayeifahamu Mwanza Vyema, atakuwa anayajua vilivyo mazingira ya BEACH ya MIHAMA eneo ambalo lipo nyuma ya Bwiru Girls/Boys Secondary School. Eneo ni tulivu sana na kiwanja kipo umbali wa mita kam 150 tu toka Ziwani.
Kina ukubwa wa kujenga nyumba ya kutosha kwa ajiri ya familia au biashara. Kimepakana na eneo ambalo mmiliki wa ukumbi maarufu wa Villa Park anataka kujenga hotel yenye hadhi.
Ndani ya kiwanja hicho imejengwa nyumba ambayo haijaisha, bali imeezekwa upande mmoja. Kiwanja kimesajliwa, kina namba ila hakijapata hati. Kodi ya jengo ya kila mwaka kimelipiwa tena kipo tamabalale. vifaa vya ujenzi kama mchanga na mawe vipo karibu.
Bei yake ni 40ML (Mazungumzo yapo)
Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuwasiliana na ndugu mwenye namba hi 0773 422 205 au unaweza ku PM
Karibuni mabichi penye upepo usio wa kunyanganyana.