Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa kwa 95000TZ$,haina tatizo na inamiezi mitano tu,pia inavitu vyake vyote kama chaji,USB cable,hd phones,ni touchscreen,nyeusi na ina vitu vyote kama internet,radio..nk,na apps za kumwaga kwa atakayeitaji anitafute kwenye namba yangu ya "0712269097",kama mnavyoiona apo chini.