Kwa wenye magari pata amani moyoni

Kwa wenye magari pata amani moyoni

Digitali

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
424
Reaction score
91
Je unahitaji kifaa cha kukupa taarifa mahali ilipo gari yako muda wowote kupitia simu yako ya mkononi au laptop yako?
Okoa gari lako la thamani kwa kifaa kidogo cha thamani ndogo
Kama unahitaji hebu pm sasa

Tazama snap shot ya tracking playback ambayo unaweza kucheck baada ya mizunguko yako, pia kifaa hiki kina function inayoitwa real time tracking, Geo-fencing, listen in n.k

View attachment 91461 03052013 To posta snip.JPG Snip preview.JPG View attachment 94786View attachment 94786 Capture 2 close.JPG
 
Kajifunze kufanya marketing kwanza halafu uje na tangazo lako upya.
 
Nazungumza na mtu mmoja mmoja kaka! Usivamie fani usizozijua hapa unazungumza pro
 
Inaelekea bidhaa unayo lakini tangazo hujatoa. Wapiga ramli wametoweka. Toa maelezo yanayojitosheleza na sio kuweka mada watu wajadili.
 
Je unahitaji kifaa cha kukupa taarifa mahali ilipo gari yako muda wowote kupitia simu yako ya mkononi au laptop yako?
Okoa gari lako la thamani kwa kifaa kidogo cha thamani ndogo
Kama unahitaji hebu ni pm sasa!

Hata Waganga wa kienyeji wanakuzidi kwa uwezo wa kutangaza their business....!!!

... Be open stop kujifanya siri siri basi usingepost hapa....

WTF...
 
Nazungumza na mtu mmoja mmoja kaka! Usivamie fani usizozijua hapa unazungumza pro

Eti nazungumza na na mtu mmoja mmoja.kama ni hivyo ungemtafuta kila mtu kwa muda wake.kwa umetupotezea muda ungekuta tushafanya mabo ya maana.Usirudie tena kupost ujinga coz unafanya biashara za kijima.
 
Je unahitaji kifaa cha kukupa taarifa mahali ilipo gari yako muda wowote kupitia simu yako ya mkononi au laptop yako?
Okoa gari lako la thamani kwa kifaa kidogo cha thamani ndogo
Kama unahitaji hebu ni pm sasa!

Tazama snap shot ya tracking playbackuncti ambayo unaweza kucheck baada ya mizunguko yako, pia kifaa hiki kina function inayoitwa real time tracking, Geo-fencing listen in n.k

Tracking April.JPG
 
mweka tangazo umechemka, inaweza ikawa makusudi kwa sababu unataka kuwaibia wana jamvi au ni mbumbu
 
Nakaribisha maswali tafadhari! I will be happy to answer any question
 
Miye nahitaji kufunga security alarm kwenye gari langu
 
mkubwa mbna hujaelezea thaman ya hiko kifaa na uwa inakua accurate na muda au inalate kwa muda flani,ntashukuru ukitaja bei ya hicho kifaa na how accurate kilivo katika hizo location
 
mkubwa mbna hujaelezea thaman ya hiko kifaa na uwa inakua accurate na muda au inalate kwa muda flani,ntashukuru ukitaja bei ya hicho kifaa na how accurate kilivo katika hizo location

Kifaa kinauzwa laki 3.5 tu
Accuracy yake ni 100% accurate, real-time tracking inakupa exactly position uliyopo, antena yake ambayo iko ndani iko very strong hata ukiwa kwenye jengo la ghorofa kwa mfano packing za chini inauwezo wa kuwasiliana satelite at first unaweza kupata rough location lakini baada ya 60 sec location itajifinetue

Kama uko kwenye packing za kawaida hapo haihitaji fine tuning
 
mkubwa mbna hujaelezea thaman ya hiko kifaa na uwa inakua accurate na muda au inalate kwa muda flani,ntashukuru ukitaja bei ya hicho kifaa na how accurate kilivo katika hizo location

Ukiangalia kwenye hiyo snap shot upande wa kulia juu kuna options za maps unataka kuangalia ukichagua satellite map au google earth map utaona exactly hizo physical structures kama majengo, barabara n.k mahali ulipo
 
ukiacha bei ua kununua, kuna gharama nyingine? hasa zile za kila mwez, au mwaka? si vibaya ukituambia kama kuna gharama nyingine baada ya kununua na kufunga ni zipi na ni shilingi ngapi.
 
Back
Top Bottom