engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
cha msingi picha inaongea zaidi ya manenoTumia lugha ya kiswahili watu watakuelewa vizuri na haraka.
Kilimo kwanza,huitaji kuumiza kichwa ktk uvunaji-tuache mechanization ichukue nafasi yake ili kuondoa low productivityUmetumwa enh? Unataka kutukosesha ajira au nini?
Mkuu gpblaze ngoja tumsaide huyu mtu.
Jamani eeeh,hapa mkuu engmtolera anauza mashine ya kuvunia ngano na jamii zake,ila nadhani analenga kuwauzia wazungu au waswangilish!
Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana?kilimo kwanza,mnapigwa bei kubwa,tunawaletea machine kwa bei nzuri mnalalamika.
Mkuu hii machine naweza kuvunia mahindi?kama hapana jee ya kuvunia mahindi itapatikana?
Na jee,hiyo ya kuvunia mpunga naweza vuna acre ngapi kwa siku?