Simu za ndani kwa ndani

Simu za ndani kwa ndani

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Natafuta simu za kuweza kutumika ndani kwa ndani yaani hazitumii mtandao wowote ila frequency tu na ni ndani ya distance maalumu tu. Naweza kuzipata wapi?
 
ndani kwa ndani yaani toka chumbani kwako hadi sebuleni au?
tumia makopo ya mafuta ya kupaka na uzi wa kanda za tape..!
 
Namaanisha kutoka ghorofa ya kwanza na ya juu yake au receiption na godown
 
Natafuta simu za kuweza kutumika ndani kwa ndani yaani hazitumii mtandao wowote ila frequency tu na ni ndani ya distance maalumu tu. Naweza kuzipata wapi?

Nenda Kariakoo shimoni..
 
Back
Top Bottom