Nyumba mpya inauzwa Tabata Kisukulu

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, sehemu ya kulia chakula na jiko. Ina master bedroom 1, chumba kingine ni self contained, kinachobakia hakina choo na bafu. Pia kuna choo na bafu kwa ajili ya huyo mwenye chumba kichona choo na bafu. Nyumba imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1200. Kina hati miliki. Maeneo yote karibu na hiyo nyumba yamepimwa na barabara zake zimepangiliwa. Bei 230mil. Mawasiliano 0755312233. email:info@kitomai.com
attachment.php
 

Attachments

  • Picture 1094.jpg
    Picture 1094.jpg
    24.3 KB · Views: 292
  • Picture 1095.jpg
    Picture 1095.jpg
    22.4 KB · Views: 111
  • Picture 1096.jpg
    Picture 1096.jpg
    13.2 KB · Views: 99
  • Picture 1097.jpg
    Picture 1097.jpg
    15.2 KB · Views: 97
  • Picture 1098.jpg
    Picture 1098.jpg
    21.6 KB · Views: 95
  • Picture 1100.jpg
    Picture 1100.jpg
    15.1 KB · Views: 99
  • Picture 1106.jpg
    Picture 1106.jpg
    30.1 KB · Views: 94
Huh! Hii nyumba si ni mpya hii kwanini inauzwa?

Ipo karibu na mandela bar sio
 
Back
Top Bottom