Shamba heka 12 lipo Visiga linauzwa.

Shamba heka 12 lipo Visiga linauzwa.

Majuto Ngozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
211
Reaction score
50
Shamba lina ukubwa wa hekari 12 lina minazi, michungwa, mikorosho na nyumba ya vyumba vitano ya tofari, shamba lipo Visiga maili 35, lipo mita 400 kutoka barabara ya Morogoro, bei milioni mia moja na hamsini, shamba linauzwa lote si nusunusu, kuhusu suala la bei linazungumzika, nitafute kwa 0717 000 990/ 0764 434 673/ 0689 232 523 au majutongozi@gmail.com
 
Back
Top Bottom