YOM 2002, V6 2.5CC, Pearl, 5 Seater, Honda Inspire in immaculate condition, 66,000km, in Tanzania for 2 weeks now ex – Japan. Has TV, Navigation System, Screen Touch AC Controls, FM, AM...
Nyumba imegawanyika pande mbili. Kila upande una vyumba viwili vya kulala, sebure na jiko lake. Imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 850. Ina karatasi za serikari ya kata. Bei...
Ina vyumba vinne vya kulala, sebure,jiko na dinning area. Ipo katika kiwanja kinachokaribia ukubwa wa heka moja. Pia si mbali sana na Bagamoyo Road (umbali wa nusu km). Bei 65mil. Kiwanja kina...
nyumba inauzwa boko madukani. Ina hati na kiwannja kimepimwa, ina vyumba vinne, kimoja master bedroom chenye balcon, ina choo na bafu ya public kwa ndani, jiko, dinning room na sebule kubwa, ina...
Wakuu, Natafuta Engine control box for Toyota Mark X. Engine number 4GR-FSE Control box number 89666 - 22070 Denso . Mwenye nayo naomba awasiliane nami
Habari zenu wakuu,, tunauza mapazia ya mtumba grade 1 na ni mazuri .kwa anayeitaji anakaribishwa sanaa. yanapatikana tegeta nyaishoz
Namba ya Simu : 0712624800
VIWANJA BEI POA,BAGAMOYO
ENEO;Kutoka dar baada ya kitopeni,2.5km kutoka bagamoyo road.mtaa wa ukuni karibu na kaole.
SQM 1 KWA 9000/=
Viwanja vimepimwa(vipo kwenye ofa),unalipa nusu...
Natafuta Samsung Galaxy (T-Mobile) SGH-T959V iwe mpya au haijatumika mda mrefu. Kama unayo nitafute kwa simu no. 0755015050 au 0782015050......kumbuka ni T959V siyo T959.
Tumepunguza gharama za matengenezo ya disply ama touch screen kwa simu aina yoyote ile, tunabadilisha kwa bei nafuu sana. Kwa wale ambao wametingwa na shughuli zao unaweza kufuatwa sehemu yoyote...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali,(na kwa wale waliokosa awamu iliyopita hapa) nina agent till mpya 1 na used 1 za M-pesa ninaziuza.
Bei ni...
Wana bodi heshima yenu, najua hapa ndo kwenyewe, ni kama vile kwenda TRA, bandarin nk kupata taarifa za kina.
Nataka niagize gar used toka Jap, nimejaribu kuangalia angalia nikapenda gar (RAV 4)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.