Hi all!
Miezi ya nyuma kidogo nilitangaza hapa JF kuwa mimi na timu yangu tunaandaa mahesabu ya biashara, tunatoa ushauri wa kitaalam kuhusu biashara, tunatoa huduma za kihasibu kwa muktadha wa kodi na huduma mbalimbali zinazoshahabiana na biashara kwa ujumla!
Nilipata respond ya kutosha baada ya kutoa tangazo hapa JF, wengi wametokea hapahapa JF, wengine nawafahamu ID zao na kuna wengi ID zao zizifahamu kabisa! Nawashukuruni sana, maana wengi wenu mwisho wa mahesabu yenu ilikuwa ni tarehe 28th June, 2013 juzi ijumaa na wote nimewahudumia vema nathubutu kusema ni kwa viwango vya kimataifa kabisa, nathubutu kusema hivyo!
Naweza kusema mimi ni kati ya wanachama wachache walionufaika na mtandao wa JF, wateja wangu sasa ni wengi nafurahi sana, nafanya kazi ya taaluma yangu ninayoipenda kwa moyo wangu wote, najisikia furaha sana kufanya kazi hii! Yaani kila nikizungumzuia biasahara naona machozi yakinitoka ndani kwa ndani, naona fahari! naona kama tunu hivi! nikiona mijadala ya kiuchumi naona kuweweseka kwa furaha! nafurahi sana tena sana!
Kwa kipindi kifupi sana nimekuwa na meetings nyingi kempsik, serena hotels, blue pearl hotel, mesuma hotel, wanyama hotel, mlimani city, kwenye gari, chini ya mti, sehemu ya wazi, nk huku tukifanya hili na lile kwa jili ya mahesbau ya wateja wangu! Nadiriki kusema the dreams are coming true! Natoa huduma and my people enjoy me for sure, wanatoa ushirikiano wa kutosha hadi naona raha! Japo wengi hawakuwa wanafahamu hasa jinsi mahesabu yanavyoandaliwa lakini nawaombeni wateja wangu wachahce niliowahudumia muwe mabalozi wangu wazuri popote muendako!
Angalizo:
Ni vema kuwaisha documents zako mapema iwezekanavyo, ili tupate muda wa kutosha kukufanyia kazi nzuri ambayo binafsi utaifurahi! Fahamu kuwa mamlaka ya mapato imekupa muda wa miezi 6 tu kuandaa hesabu zako, sasa kama ukiwasilisha documents zako mapema sana ndivyo hivyo utakuwa umetupa muda wa kutosha kufanya kazi yako iwe nzuri na ya kuvutia!
Wasalaam,
';';';';';';';
TheDealer.