Ina 3g,bluetooth,installed application programs such as instagram,twiter,whatsapp,facebook,picmix,skype and much more,ipo katika hali nzuri,bei ni laki na sabini tu (170,000),ni pm tufanye bussness fasta
Weka picha
Me nauza galaxy mini 150,000 tu mkuu ni original na iko poa picha yake ni hii
Ni PM tufanye business niko dar
Mkuu mimi nipo mikoani. Naweza kupata hiki chombo!
Mkoa upi upo kaka
Kigoma mjini kaka!
Ina 3g,bluetooth,installed application programs such as instagram,twiter,whatsapp,facebook,picmix,skype and much more,ipo katika hali nzuri,bei ni laki na sabini tu (170,000),ni pm tufanye bussness fasta
Nashukuru kaka. Siyo rizki! Lakini mbali kutoka wapi kwa wakati huu wa utandawazi. Kuna mdau mmoja aliniletea Tablet kwa Ems na ilifika salama tu!Mbali sana kaka
Nashukuru kaka. Siyo rizki! Lakini mbali kutoka wapi kwa wakati huu wa utandawazi. Kuna mdau mmoja aliniletea Tablet kwa Ems na ilifika salama tu!