Siku za usoni, hapa Tz kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kukosa visa kwenda nchini China.
Mfanyabiashara (Mtanzania tuu) anayehitaji visa, tuwasiliane.
Mdau.
Kila kazi nchini tz hapa inavishoka,
Mpaka urais una vishoka!
nini uraisi mpk ukitaka mke!!
hilo pia linawezekana ilimradi uonekane una hela tu,utaundiwa kitu chochote alimradi waafune hela zako!!![]()
Mke wa Kichina?
Kweli WaTZ ni kiboko maana hata ofisi za Ushauri, kutembezwa Uchina (Mji wa Ghuanzong) utawapata vishoka wa kukuonyesha Maduka na hata mali zilizo feki na genuine