Printing Printing

Printing Printing

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau naomba kujuzwa wapi nita print kwa bei rahisi posters za A3....kuna printers niliwaona kwenye tangazo la gazeti la mwananchi wanaprint kwa 600 but bahati mbaya nimepoteza namba zao za mawasiliano...mwenye kujua wapi nitapata printer wa bei chee anijuze please
 
nipm best

Ni wapi nami nitaweza ku-print Stickers(Water proof) za A4 mkoani Arusha au Kilimanjaro.
Please mwenye kujua aweke Contant au direction.
 
Back
Top Bottom