Viwanja vinauzwa kinyerezi kwa ITATIRO bei maelewano ni pm kwa more infoAnayehitaji kiwanja kinauzwa kipo kibaha picha ya ndege maeneo ya boko km 5 kutoka morogoro road,kwa bei nzuri,ukubwa wake ni hatua 70 kwa 70,umeme upo karibu ,barabara inapitika muda wote.Kimepimwa na kina hati yake anayehitaji ani pm.
shiling ngapi?
Anayehitaji kiwanja kinauzwa kipo kibaha picha ya ndege maeneo ya boko km 5 kutoka morogoro road,kwa bei nzuri,ukubwa wake ni hatua 70 kwa 70,umeme upo karibu ,barabara inapitika muda wote.Kimepimwa na kina hati yake anayehitaji ani pm.
shiling ngapi?
bei bei bei
leta bei hicho kiwanja kibaha