kitunguu nilicholima sasa kipo tayari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kitunguu nilicholima sasa kipo tayari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mkonowapaka, May 27, 2013.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wadau

  niliamu akuuchukua uashaur wenu wa dhati kbs kwa vitendo na leo nawasilisha nilipofikia na changamoto nilizokutana nazo..

  nilianza mchakato kwa kwenda Ruaha Mbuyuni mwaka jana october.Sikua na niliemfahamu kule.Nilifanikiwa kufanya mazungumzo na watu kama watatu niliokutana nao pale na bahat mmojawapo alikua tayar kuambatana na mimi kucheki mashamba.Nikalipia heka moja laki 3 ya msimu utakaoanza January yamwaka huu...Kulipia mapema ni muhimu.

  Nilianza mchakato mwingine wa mbegu.Nikanunua mbegu.Ikahifadhiwa.Ikaoteshwa january.

  Mbegu ilihitaji uangaliz wa karibu ikiwemo kunyeshea na kung'olea..bahat mbaya niliyemweka hakuwa siriaz.Mbegu ikajaa majani.haikufaa tena....nikapoteza laki 4


  nikaumiza kichwa nikatafuta mbegu za haraka ambazo zimeishakuota.Nikapata.Nikalima.Nikaandaa majaluba.Nikaotesha.

  KIjana niliyemweka hakua siriaz sana.akanitia majangani.

  Sasa kitunguu kinaendelea vema na ninatarajia kukivuna mwezi ujao mapema sana............

  wadau mliopo hapa nipeni bei za sokoni nimefanya research Buguruni gunia ni kama 120,000...au kama tunaweza fanya biashara niPM..mzigo upo shambani pale ruaha mjini kbs pembeni y amto

  natarajia magunia kati ya 30 na 40......kwa hekari,kadirio la chini
   
 2. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2013
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hongera kwa kazi yako wafanyabiashara ya vitunguu wanakuja
   
 3. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2013
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  big up miezi hii kitunguu kina soko sana utauza tu usiwe na wasiwasi hata Mbeya Bei ni 120K
   
 4. TheDealer

  TheDealer JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2013
  Joined: Nov 19, 2012
  Messages: 2,429
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  wewe ni wa kukutafuta kabisa, wewe una ufunguo wa maisha yangu ujue!!
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Big up bro!

  Changamoto kubwa usimamizi ?
   
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,452
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  big up kaka hongeraa sana mimi jana nimekwenda kununua mbuzi wangu wa maziwa na nimewapata wanamimba nilielekezwa humuhumu jf na mwana jamii mwenzetu,usihofu wataalama na wafanya biashara wapo humu humu ,big up
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,608
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  haki ya nani umeniwahi
  Mungu akipenda muhimu mwingine tutakuwa wote.

  Naomba uniambie kwa kuwa shamba la eka moja la vitunguu
  nijipange kuwa na shilingi ngapi, daaaaah naonaje wivu jamani.
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2013
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,127
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Vitunguu vinachukua muda gani kuvuna?
   
 9. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2013
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Around 5 months
   
 10. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2013
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,127
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa ardhi ya bagamoyo vp? I mean vinahitaji mambo gani vitoke poa?
   
 11. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180  Homie, ukianza kusaka shamba unitonye ili tuunganishe nguvu.Seriously!
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,608
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  gmosha48 mikakati ya kusaka shamba nimeanza karibia mwaka mzima sasa unakwenda
  pengine itabidi niende huko huko mwenyewe
  ili nikafanye hiyo kazi huko huko.

  kama vipi uta pm unipe contacts zako.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2013
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Shamba unataka maeneo gani?
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,608
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  pale ruaha mbuyuni
  nimeambiwa ndiyo maeneo ya vitunguu.

   
 15. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2013
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Okay sawa hapo sina ujanja napo
   
 16. I

  Ibra6 JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2013
  Joined: Jun 2, 2013
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mafanikio kwenye kilimo cha biashara ni usimamizi wako
   
 17. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu hata mimi nimejifunza kitu.Asante mleta Maada.
   
 18. I

  Ibra6 JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2013
  Joined: Jun 2, 2013
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hongera.mi last yr niliacha kaz nikaingia kichwakichwa kulima tomato nimepoteza 8ml kwa kutokuwa na elim ya kutosha.
   
 19. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2013
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,706
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kiongozi hii ni general formula kwa investment yoyote, it does not matter how good a business idea is. What matters is the way you execute it. Unaweza ukawa na business ambayo ni common sana, ila ukatoka kwa vile tu the way unavyoikomalia inakufanya uwe outstanding.

  Vitunguu vinahitaj very close supervision na ukiweza kila siku angalia progress ya shamba coz wadudu wengi wanapenda kuvishambulia kwa ile succelent nature yake.


  Hivyo the only way to get rid na hasara inayoweza kujitokeza ni ww kukeep your eye on em. Kama wategemea kulima kitunguu kwa remote control, ningekushauri hiyo hela itaftie kazi nyingine.
   
 20. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2013
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Duh.
  Pole sana mkuu.
  Hope umejifunza makosa na utaweza kuendelea vizuri misimu ijayo.
   
Loading...