Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

KIWONDEF

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
59
Reaction score
23
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com
francofmwakiwonde@yahoo.com

TUJENGE PAMOJA
 

Attachments

  • four.jpg
    four.jpg
    1 MB · Views: 1,229
  • two.jpg
    two.jpg
    963.6 KB · Views: 1,457
  • nyumba ya kawaida plan.jpg
    nyumba ya kawaida plan.jpg
    57 KB · Views: 2,041
  • 3.jpg
    3.jpg
    1 MB · Views: 1,375
  • first floor plan gorofa.jpg
    first floor plan gorofa.jpg
    55.1 KB · Views: 1,533
Una demo ya residential house ambayo upande mmoja ni ghorofa moja na upande mwingine ni nyumba ya kawaida ya chini! inerest yangu ni roofing appearance
 
Waoo zimekuvutia kaka mpaka umesema za kwenye mtandao hayo mambo yanafanyika hapa hapa tu.
 
Yeap zipo mkuu,japokua design huwa zinategemea na mahitaji ya mteja,juu tuweke nini,na chini paweje hapo ndipo tunapata tunachokihitaji
 
Una demo ya residential house ambayo upande mmoja ni ghorofa moja na upande mwingine ni nyumba ya kawaida ya chini! inerest yangu ni roofing appearance
Yeah,
Tupia ya hivi moja tuione!
 
Mi nafikiri mngeweka na bei ya chini ya kuanzia kwa mchoro wa kawaida wa nyumba yoyote unaanzia kiasi gani,kwa mfano wengine husema wao huanzia TZS 800.000 kwa kutegemea ramani lakini hakuna ramani chini ya hapo na je nyie mnaanzia TZS ngapi
 
Back
Top Bottom