2 for 1 Phone Offer. Moja Yako ya Pili Unampatia Utaependa Wewe.

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Huawei Y200 na Samsung Chat zinauzwa kwa bei ya 189,000/= Tsh. Utapata simu mbili na charger na kwa Huawei y200 utapata receipt yake for warranty valid for 5 months (Kama kukitokea tatizo lolote unauweza kuwapelekea tigo kwa matengenezo au simu mpya bure).

HUAWEI Y200
Huawei -IPS screen(nzuri sana hadi ukiwa unaitumia nje kwenye jua), Ram-256mb, Android 2.3,camera 3mgpx, Processor- 800mhz (1094mhz uki overclock) Battery life 8hrs-ukiwa unatumia sana 3G, Lakini kwa matumizi ya kawaida hadi siku mbili.
Kwenye upande wa OS au ROM inakuja kwa unachopendelea wewe kama mteja ukitaka iwe na stock rom kama ilivyo nunuliwa tigo ntakuwekea,Kama unataka custom rom ambayo ni bora zaidi kwasababu unakuwa na free space nyingi na pia unakuwa na uwezo wa kutumia partition kuinstall apps na kuongeza Ram plus processor pia ntakuwekea.

SAMSUNG CHAT
QWERTY Keyboard,Betri inakaa sana,Double Line, Nzuri sana kwa mziki kwa sababu ina DOLBY DIGITAL MOBILE SURROUND SOUND FOR PHONES.


CONDITION YA SIMU
Simu azina hardware wala software problems.
HUAWEI- Aina mchubuko wala mkwaruzo wa aina yeyeto,screen aijapasuka na pia aina scratch. LOGO tu ya nyuma ndio imesuguliwa kwenye sehemu za mwanzo.

SAMSUNG- Mikwaruzo ya mbali mno; unaeza iona ukiangalia kwa ukaribu mno


SABABU YA KUUZA

Nina itaji hiyo ela kumalizia hesabu ili niweze kununua Galaxy Tab ambayo bado 190,000 nimalize (namsamehe mnunuzi 1000 ya nauli yake).



EXTRA SERVICE

-Pia naweza kumfanyia na kumfundisha mnunuzi jinsi ya kufanya partition ya SD Card (Ili aweze tumia Link2sd kwa kuinstall apps)*Akija na laptop
-Kumuelekeza mnunuzi jinsi ya kuinstall Rom + Kuinstall Custom Kernal na mahali pa kuzipata.
-Kujibu maswali yoyote yanayo husu izo simu.


HITIMISHO

Serious buyers ni PM tufanye biashara.
 
1.JPG
 
Back
Top Bottom