DK The Farmer
Senior Member
- May 27, 2013
- 104
- 17
Ni Nyumba ipo Sinza kwa Remi, mtaa kama wa3 kutoka barabarani,Sinza B
We kama unapasoma sinza kwnye kota za sigara utajua,ila ilikuwa club ya wafanyakaz wa TCC, bt bdae waka ipangisha, kiukweli haiko kisasa ila kuna watu wanaisha,co wamiliki ambao ni kikundi cha wazee wameazimia kuiuza,ima hati bt vipimo vya kiwanja cjavjua zaidi ngoja nikifka hapo ntawapa majibu wakuku, bt kikubwa sinza hata kama nyumba ni gofu watu wanachek thaman ya ardhi basi.
Mi nimetoa information coz nilihudhuria kikao kwa niaba ya mzee wangu,so kwa wanunuaji its better ukafika eneo husika, coz mitandao inaharibu sana naweza tuma picha hapa ukaiona bonge la nyumba kumbe doh!

Maelewano