FURSA KWA WANAVYUO TO MAKE EXTRA MONEY THIS HOLIDAY!Umeshawahi kujiuliza wewe kama mwanachuo:
· Ni namna gani nitafanya business ya kuniingizia kipato cha kutosha pasipokuathiri masomo...
Je, unahitaji logo (nembo) kwa ajili ya mradi au biashara yako? Bei ni 90,000/- tu. Ofa ya bure! 1. Letterhead Template 2. Proforma Invoice Template 3. Tax Invoice Template na 4. Biz Card...
Salam wakuu, napenda kutambulisha kwenu duka la kwanza na pekee la ASALI halisi na bora toka HONEY SPRING. duka lipo katika ghorofa la LOTTOS mkabala na ofisi za bima.
Asali hii inatoka mkoani...
Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006...
Nipo DSM,Natafuta used laptop iliyo katika condition nzuri, long battery life na iwe cheap, kwa yeyote anayeuza anipm, usisahau kuweka specifications zake pamoja na bei. Thanks for your time and...
Wakuu naombeni msaada,nna 8milions nataka kuagiza used Carina car direct from japan ya mwaka 2000/2,swali ni kwamba,je hiyo amount inatosha?jinsi ya kuagiza ndo mgeni kabisaaaa,naskia tu sjui...
Lumia 620 ,black OR (any colour), 8GB, <month used,with ALL accessories + BOX.
its WINDOWS 8 and upgraded to any window.
NB: supports Instagram,Skype,viber, whatsapp and many more!
pics...
I would like to sell my house which is located @ Olasiti, so I'm requesting for any agent to give me an advice as in what price should I sell...
Regards,
Jonathan.
Kitambulisho hiki ni hazina kubwa sana
Nimekiokota maeneo ya Tabata-Saibaba Kura moja inaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwa ilikuwa barabarani sikweza kukikabidhi mahali popote
Yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.