mercedes benz,ML 350 inauzwa

mercedes benz,ML 350 inauzwa

amina paggy

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
37
Reaction score
1
mercedes benz,ML 350,engine 3.7L,mileage 94,000,Year-2005,haijatembea hapa TZ,Bei ni maelewano,wasiliana nami 0657690970
 
mil 4 ni nyingi mno lakini nadhani inafaa kununua pikipiki au bajaji

Hata gari lako hilo linafaa kuuzwa 4mil kwani lina nini cha maana? wewe kama ungekuwa unataka biashara ungeweka na bei.....mimi nakupa 4.5mil vipi inalipa?
 
kuna watu hawana kazi za kufanya hapa,haukulazimishwa kuchangia nilichoandika,kwa kuwa nimeweka namba ya simu mwenye kuhitaji atawasiliana nami,hauwezi kujua labda najaribu kuapload pic lakini nashindwa.
 
Unajua kuna watu humu huwa wanaleta utani kwenye kila kitu, sidhani kama huyo bwana hapo juu yuko siriasi na anachochangia. Sina haja ya kumtaja wala kum-quote anajijua mwenyewe.

Hiyo bei unawezakupata mjapani used wa mitaani lakini mdachi sahau maana unaweza ukapewa kwa hiyo bei yako pungufu, swali je filling station napo utakuwa unaomba bei pungufu? Kama ni wa moja usilazimishe kuvaa mbili utapasuka msamba.
 
your right
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom