msaada:2000 RAV 4

msaada:2000 RAV 4

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
nilikua napitia ktk web ya be foward,nimeona nikaipenda rav 4 ya mwaka 2000 automatic, odo ni km 74000. Gharama hadi kufika dar ni usd 5,777 ambayo ni total cost(insurance na clearence) nikipiga hesabu kibongo bongo ni kama M 9.2 approximate. Je gharama za kuitoa mf.CLEARING AGENT,TRA,BIMA,MOTOR V N.K. inaweza kugharimu sh.ngapi ukiachana na izo dola 5777.
 
Andaa 8.5ml ita cover kodi,agent,Port charges,na chai ya mkaguzi pale Bandarini maana bila chai Kila siku utaambiwa system ipo down na matokeo yake storage charges!!!!..husipigie hesabu ya C.I.F $5777 ,Tra wataweka C.I.F yao
 
nilikua napitia ktk web ya be foward,nimeona nikaipenda rav 4 ya mwaka 2000 automatic, odo ni km 74000. Gharama hadi kufika dar ni usd 5,777 ambayo ni total cost(insurance na clearence) nikipiga hesabu kibongo bongo ni kama M 9.2 approximate. Je gharama za kuitoa mf.CLEARING AGENT,TRA,BIMA,MOTOR V N.K. inaweza kugharimu sh.ngapi ukiachana na izo dola 5777.

ingina kwenye site ya tra,formula yao imefanya ushuru umekuwa mdogo sana,hio gari haitafika hata 5M

Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
 
Bwana TCleverly,Rav 4 iliyo na dumping fee kodi haifiki ata 5ml...wakati Toyota IST isiyo na dumping fee is almost 4ml !!!!!

jaribu kwenye hio formula....kama ina dumping fee inaweza kuzidi lakini haitafika huko kwenye 8-9m
 
Tatizo siyo Formula,tatizo ni jinsi wanavyo uplift cost za vitu hesabu zao ni za kibabaishaji sana,kuna mizigo nilituma miezi michache iliyopita kwa formula yao nilivyopiga niliandaa 3ml lakini ushuru ulipokuja ulikuwa 5.6ml,Mimi niliwahi kuingiza Rav 4,nakuomba 8ml uwenayo mkononi lolote lawezatokea...haiwezi Kuwa chini ya 6.8ml mbali ya chaji nyingine
 
Thanks wakuu, nitajipanga ila nimeona formular za tra nimezipenda zaidi kwani zipo very clear. Thanx to Tcleverly, lucky sabasaba. Let me try to choose the latest model.
 
Bwana TCleverly,Rav 4 iliyo na dumping fee kodi haifiki ata 5ml...wakati Toyota IST isiyo na dumping fee is almost 4ml !!!!!

Mkuu, kodi inafika sana tu. Niliagiza ya 1998 mwaja huu January, nimelipa kodi almost 7.1M. Japo nilijaribu kucheat kidogo kwenye invoice, waliitupa kuleee
 
msipende kubisha kwa mazoea....hii system imeanza july 1 2013....hamna cha kukadiria,wanachukua bei ya gari wakati mpya wanaingiza kwenye system ya depreciation,kila kitu kiko wazi.......
 
Tatizo siyo Formula,tatizo ni jinsi wanavyo uplift cost za vitu hesabu zao ni za kibabaishaji sana,kuna mizigo nilituma miezi michache iliyopita kwa formula yao nilivyopiga niliandaa 3ml lakini ushuru ulipokuja ulikuwa 5.6ml,Mimi niliwahi kuingiza Rav 4,nakuomba 8ml uwenayo mkononi lolote lawezatokea...haiwezi Kuwa chini ya 6.8ml mbali ya chaji nyingine

usiongee kwa mazoea,ulitoa lini gari??kuanzia JULY 1,2013 utaratibu ndio huo,hamna kukadiria depreciation formula inafanya kazi very fair,nimetoa gari recently nikiweka bei ya ushuru na gari yenyewe utasema nimehonga,usikubali kuyumbishwa ile formula kwenye tra website sio pambo inatumika.
 
nilikua napitia ktk web ya be foward,nimeona nikaipenda rav 4 ya mwaka 2000 automatic, odo ni km 74000. Gharama hadi kufika dar ni usd 5,777 ambayo ni total cost(insurance na clearence) nikipiga hesabu kibongo bongo ni kama M 9.2 approximate. Je gharama za kuitoa mf.CLEARING AGENT,TRA,BIMA,MOTOR V N.K. inaweza kugharimu sh.ngapi ukiachana na izo dola 5777.
andaa kama hiyo mkuu yaani 9.2 Mil
 
usiongee kwa mazoea,ulitoa lini gari??kuanzia JULY 1,2013 utaratibu ndio huo,hamna kukadiria depreciation formula inafanya kazi very fair,nimetoa gari recently nikiweka bei ya ushuru na gari yenyewe utasema nimehonga,usikubali kuyumbishwa ile formula kwenye tra website sio pambo inatumika.

Ni kueleweshana tu kaka navyojua Mimi ni kwamba kuanzia July 1,2013 ushuru ndio uliongezeka kabisa maana wote tulisikia hotuba ya bajeti,percentage ya dumping fee iliongezeka,pili hiyo formula ipo miaka mingi tu,tatu ni kwamba hiyo Toyota IST tuliingiza trh 3/7 ushuru ulikuwa almost 4ml..to cut the story short pale hakuna utaratibu mzuri aw utozaji ushuru kuna kipindi wana uplift sana labda wewe ulibahatika tu...Rav 4 iliyo na dumping fee Kuwa less than 5ml!!!!!hii ni good news ata Mimi ntamiliki showroom
 
ok.labda nilibahatisha.
 
usiongee kwa mazoea,ulitoa lini gari??kuanzia JULY 1,2013 utaratibu ndio huo,hamna kukadiria depreciation formula inafanya kazi very fair,nimetoa gari recently nikiweka bei ya ushuru na gari yenyewe utasema nimehonga,usikubali kuyumbishwa ile formula kwenye tra website sio pambo inatumika.

Mkuu Hapa kuwa makini zaidi. Haiwezekani kodi ya RAV4 ya mwaka 2000 uwe chini ya 5m. Kwa kutumia hiyo formula mpya ni kwamba bei ya RAV4 ya mwaka 2000(old model ya code number SXA11/16 ikiwa mpya ni USD33,177 ukiweka kwenye calculator kwa exchange rate ya 1610 (which is very low) na kwa kutumia 80% ya uchakavu kodi itakuwa ni 5,274,051 (na siyo chini ya 5m). Sasa hapa jumlisha na hiyo 5,777 USD ina maana jamaa lazima awe na 14.6m kwa maana ya kodi na CIF price. Then weka gharama zingine kama hizi.

- 250,000 clearance charges
- Plate number 40,000
- Shiping line 140,000
- Port charges 350,000
- Registration/fire/others 450,000

Hapa lazima jamaa awe na kama 15.8m OR 16m kwa kuanzia kabla hajafikiria kuagiza hiyo gari.

Kama yeye anazungumzia RAV4 ya 2000 hizi new model zenye Code ACA21W5 hiyo kodi yake pekee kwa hiyo calculator ni KUBWA ZAIDI maana bei ya hiyo gari ikiwa mpya ni kubwa zaidi.

Anyway ngoja wataalamu watamshauri zaidi
 
Mwone kwanza clearing agent akufahamishe
 
msipende kubisha kwa mazoea....hii system imeanza july 1 2013....hamna cha kukadiria,wanachukua bei ya gari wakati mpya wanaingiza kwenye system ya depreciation,kila kitu kiko wazi.......

Haikuanza 2012 kweli? Manake nilikuwa mhanga wake...nilitamani kuifanya gari big g niitafune itokomee yaishe...kilichoanza kuniumiza ni hiyo assumption price ya gari mpya!
 
Mkuu Hapa kuwa makini zaidi. Haiwezekani kodi ya RAV4 ya mwaka 2000 uwe chini ya 5m. Kwa kutumia hiyo formula mpya ni kwamba bei ya RAV4 ya mwaka 2000(old model ya code number SXA11/16 ikiwa mpya ni USD33,177 ukiweka kwenye calculator kwa exchange rate ya 1610 (which is very low) na kwa kutumia 80% ya uchakavu kodi itakuwa ni 5,274,051 (na siyo chini ya 5m). Sasa hapa jumlisha na hiyo 5,777 USD ina maana jamaa lazima awe na 14.6m kwa maana ya kodi na CIF price. Then weka gharama zingine kama hizi.

- 250,000 clearance charges
- Plate number 40,000
- Shiping line 140,000
- Port charges 350,000
- Registration/fire/others 450,000

Hapa lazima jamaa awe na kama 15.8m OR 16m kwa kuanzia kabla hajafikiria kuagiza hiyo gari.

Kama yeye anazungumzia RAV4 ya 2000 hizi new model zenye Code ACA21W5 hiyo kodi yake pekee kwa hiyo calculator ni KUBWA ZAIDI maana bei ya hiyo gari ikiwa mpya ni kubwa zaidi.

Anyway ngoja wataalamu watamshauri zaidi

1.bei niliyosema ni approximations,otherwise ningeweka bei halisi so +/- few thousands kama ulivyoweka yako imezidi 200,000+ na siyo kama watu wanavyosema itakluwa 9m
2.tunazungumzia ushuru,sio full price otherwise im crazy to think rav4 utanunua kwa 5m in tz[u can abroad]
3.sio rav4 zote za 2000 zinauzwa $33,177 zipo zilizokuwa GBP 17,000[sterling pounds],ndio calculation yangu ilipobase
 
Haikuanza 2012 kweli? Manake nilikuwa mhanga wake...nilitamani kuifanya gari big g niitafune itokomee yaishe...kilichoanza kuniumiza ni hiyo assumption price ya gari mpya!

hii inaweza kuwa issue,utakapolazimishwa bei kubwa kuliko bei halisi hasa wewe mwenyewe ukiwa hujui chochote.
 
Back
Top Bottom