Make Suzuki curry model M-DB71T
Engine capacity: 540 cc
Mileage: 54769
Year of reg: 1990
Kununua na maelewano tafadhari tuwasiliane kwa email; punguzosokoni@gmail.com au kwa simu 0753461069.
Habari za Leo Wakuu?
Nna Ndugu yangu ni mwajiriwa wa Serikalini,(Mwanasheria wa Serikali) yupo katika Process za kuchukua Mkopo kwa Mambo yake Personal, At the same time anahitaji sehemu ambayo...
Compaq CQ58 Laptop Inauzwa Laki Saba tu (700,000)
Imetumika kidogo sana (Kwa matumizi ya Adobe CS6 zaidi), inakuja na box lake na kila kitu kilichonunuliwa nayo.
Inakaa na battery masaa matano...
baraka solar specialist ni private company ambayo inajihusisha na maswala ya umeme wa jua,ukizingatia asilimia kubwa ya nchi yetu haijafikiwa na umeme wa grid ya taifa hivo tumeona sio vibaya...
Jipatie laptop aina ya Compaq yenye specifications zifuatazo
Harddisc 80GB
RAM 2GB
SPEED 1.8
Laptop ni nzuri sana na utaipenda ukiiona mwenyewe
kila kitu safi isipokua battery inachukua dak 15...
This can't be real. Are you giving free money?
No, we are not giving away free money. We are paying you in order togenerate traffic to our website. We will get paidfrom our advertisers...
Salaam wakuu, im looking for a project car, preferably a 1956 Ford F100 Pickup, Inatakiwa iwe haijaliwa na kutu, ikiwa na parts zake nyingi itakuwa vizuri zaidi. Bei Maelewano.
Pia kama una gari...
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi.
bei ni 81M (81,000,000)
Kwa mawasiliano piga...
Nyumba inauzwa ya bedroom nne mitaa ya Njiro container, Arusha. Mtaa wa nyuma ya stand ya container. Inahitaji matengenezo kiasi ila unaweza ishi.
bei ni 81M (81,000,000)
Kwa mawasiliano piga...
Salama wakuu?
Nahitaji kununua satellite dish na decoder nzuri ambazo zitanifaa kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Bei na ubora vizingatiwe. Twafadhari.
Natanguliza shukrani.
Sent from my BlackBerry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.