Natafuta share holders

Natafuta share holders

jchris

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
125
Reaction score
41
Habari wana jf Naitwa chris na deal na supply agriculture products kaa viaz , ,maindi , mchele na mengine
Still niko on process ya build company itakayokuwa da biggest apo baadae
Soo nakaribisha wa2 kuinvest in my business

Investing n profit ya 15%kwa mwezi ya ela unayoweka kwa business hela yk inakuwa still ipo pale pale
Kwa mfano ukiinvest laki 3 kwa mwez unachukua 45000 faida
Xoo ww unaweka elaa kuendesha n mm just ww ela ndoo inakufanyia kazi
Xoo baada ya mkatapa unaamua kutoa ela yk ama kuendelea n ww
Minimum amount ya kuinvest n laki na maximum n milion 4 coz still 2nakua baadae ndoo 2taongeza

Mkataba n kuanzia miez 3 na kuendelea 2nafwata taratibu zt kabla ya kukabiziana elaa
Im serious and ineed serious ppl

Niko dar ndoo main nauza bt nw nimepanuka kimasoko nauza na morogoro kibaha Bagamoyo
Contact n 0713239001 find me
 
Kuwa serious unapotaka kufanya biashara na watu, kwa jinsi ulivyoandika tu hata kama una wazo zuri na lenye pesa lakini watu watakuchukulia kimasihara hivyohivyo. Chukulia unaennda kuomba mkopo benki, barua ya kuomba mkopo hauwezi kuandika namna hiyo, right? Lugha unayoongea kwa kiasi flani inareflect wewe ni mtu wa namna gani, KUWA MAKINI. Ushauri wangu; Futa hili bandiko, kaa utulie uandike mpango mzuri wa biashara, kisha chukua ufupisho wa mchanganuo wako, ingia hapa JF kwenye jukwaa la UCHUMI NA BIASHARA, andaa thread nzuri kwa kureflect kwa uchache yale yaliyomo kwenye mchanganuo wako. Weka na mawasiliano kamili, bila kusahau physical adress ya ofisi yako. Pesa zipo tu kijana, KAMA UTAKUWA MAKINI KIASI CHA KUVUTIA WATU KUWEKEZA.
 
Plz assist me nambie wapi nimekosea ndugu sooI can change ndugu au maneno gani ni2mie
 
Plz assist me nambie wapi nimekosea ndugu sooI can change ndugu au maneno gani ni2mie

Investing n profit ya 15%kwa mwezi ya ela unayoweka kwa business hela yk inakuwa still ipo pale pale
Kwa mfano ukiinvest laki 3 kwa mwez unachukua 45000 faida
Xoo ww unaweka elaa kuendesha n mm just ww ela ndoo inakufanyia kazi
Xoo baada ya mkatapa unaamua kutoa ela yk ama kuendelea n ww
Minimum amount ya kuinvest n laki na maximum n milion 4 coz still 2nakua baadae ndoo 2taongeza

Hizo nyekundu ni baadhi ya sehemu ulizokosea katika habari yako,halafu andika proposal nzuri uelezee vizuri hiyo 15% utaipataje utafanya biashara wapi hasa weka nyama za kutosha
 
Tatizo kubwa la vijana wa Tanzania hii katika ulingo wa biashara ni uwezo wa kujieleza,

Uandishi huu ni sehemu ya business appearance yako,

Biashara ina silika ya lugha moja tu duniani, hata utumie kichina, kijerumani, kiingereza, kiswahili nk bado lugha ya biashara huwa moja, ni sawa na lugha ya soka duniani!

Mimi nimekuelewa ulichomaanisha na ninakutakia kilala heri,

Lakini ninakushauri ndugu yangu kama unataka kuwa mfanyabiashara halisi na halali nchini hapa ni bora ujifunze lugha,

Tumia kiswahili fasaha au tumia kiingereza fasaha kama unamatatizo ya kiswahili,

Sio tabia njema kibiasha kujieleza kwakuchanganya lugha tena kihuni hivi!
 
Unaonekana wewe ni mgeni humu lugha za facebook unazileta huku!Nenda kajipange vizuri kisha urudi!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom