Nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday Dar es salaam

pvanesa

New Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Habari wanajamii wenzangu, mimi nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday, kwa miezi 4 yaani kuanzia mwezi wa kumi na moja mwaka huu, mpaka wa wa pili mwakani.nahitaji nyumba ambayo ni fully furnished one master bedroom and kitchen, iwe na maji, umeme na fence. iwe Dar es salaam napendelea maeneo ya msasani, namanga, kinondoni studio,mikocheni A or B, Victoria na kijitonyama.Bajeti yangu ni kulipia 20,000 kwa siku au 120,000 kwa week.muhimu nyumba iwe kwenye mazingira yanayoridhisha.mwenye taarifa yoyote tafadhali naaomba anifahamishe nitashukuru sana.
 
Kama ni kwa ajili ya holiday tu Dar basi sikushauri maeneo hayo unayotaka kwa bajeti hiyo. Kama una usafiri wako binafsi unaweza kupata nyumba ya namna hiyo pembezoni mwa jiji na ukaifurahia holiday yako kwa malipo ya kawaida lakini nyumba nzuri. Nyumba ya kupanga yenye furniture full ndani maeneo hayo ni gharama sana.
 
Habari wanajamii wenzangu, mimi nahitaji nyumba kwa ajili ya holiday, kwa miezi 4 yaani kuanzia mwezi wa kumi na moja mwaka huu, mpaka wa wa pili mwakani.nahitaji nyumba ambayo ni fully furnished one master bedroom and kitchen, iwe na maji, umeme na fence. iwe Dar es salaam napendelea maeneo ya msasani, namanga, kinondoni studio,mikocheni A or B, Victoria na kijitonyama.Bajeti yangu ni kulipia 20,000 kwa siku au 120,000 kwa week.muhimu nyumba iwe kwenye mazingira yanayoridhisha.mwenye taarifa yoyote tafadhali naaomba anifahamishe nitashukuru sana.

mkuu gesti tu ambayo ina kitanda na master bed room, huwezi kupata kwa bei hiyo 20,000. labda za uswahilini. nakushauri ongeza iwe 50,000/= upate nyumba nzuri sehemu za sinza, kimara, mwenge . Nyumba ina sebule kubwa, vyumba vitatu vya kulala vyote Full furnished vyote ni master. jiko full kila kitu kipo jikoni. isipokuwa vyakula vya kupika. Tv ipo lcd 43 inch. full A.C nyumba ipo ndani ya Fence. ina parking ,unaweza kupark magari hata manne. mfano wa Rav4. Nyumba ina full DSTV. Ina Mlinzi wa kampuni.Full maji ,Full umeme.kama utakuwa upo tayari. niPM
 
asante mkuu kwa offer yako, but kama ulivyoona pendekezo langu ni kwamba nahitaji one master bedroom and kitchen umeme, maji na fence muhimu. hayo mazaga zaga mengine si muhimu sana kwangu.
 
Hapo nimekuelewa, kama ni ONE MASTER BEDROOM & KITCHEN UTAPATA. Nilijuwa ni nyumba nzima ndiyo unayotaka.

Back
Top Bottom