Ndugu zangu, naomba mnisaidie kujua ni decorder gani nzuri kati ya star times, zuku, ting, easy tv na continental ambayo ni nzuri kwa gharama za mwezi na inayoweza kuonyesha japo mpira wa...
laptop
inauzwa aina ya sony vaio(vgn-nw125j)
specification:duo processor of 2.1GHZ
RAM:4GB
HARD DISK:320 gb
screen size:inch 14
webcam:1.3 MP
with window 8 already installed and all latest...
Wadau natumaini hapa pia wanamichezo wanapita sana.
Nisaidieni kupata huduma za Aljezera sports kwa hapa tz.
Ninahitaji receiver na packages ya kuweza kuonyesha ligi za epl , la liga , champions...
A very good and morden House (one storey) will be available for Renting starting from 1st November 2013. The House can be used for either an office or accomodation(currently is used as an...
Shamba la ukubwa wa heka 18... lipo kijiji cha Kimambira, kata ya Mzumbe, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro... linauzwa. kwa mawasiliano piga.....0718 651585 au 0756 778250 au...
habari wana jf.
mimi ni mjasiriamali ninaeibukia kwa kasi ya ajabu katika sekta ya ufugaji wa kuku,ng'ombe wa maziwa na mbuzi jijini Dsm
nahitaji mtu anayeweza ku supply pumba kavu gunia 20 kwa...
Habari zenu wanandugu wa JF,msaada tafathali.nimedroo pesa zangu zote kwenye hii benki kutokana na kuchoshwa na huduma zao mbovu,imebaki balance ya kulinda akaunti na balance ya kufungulia...
Additional Information about HP Pavilion dm1-4310nr 11.6" (500 GB, AMD E2, 1.7 GHz, 4 GB) Notebook - Black - C2K41UA#ABA
Product Information
With stylish looks and best-in-class mobile...
Toshiba 1TB external drive
brand new sealed
it can be filled with hundreds old and latest
2012&2013 movies and series if u want
price 165000tsh
call 0713388226
Napangisha frame ipo kariakoo, mtaa wa kariakoo na sikukuu. Ni kubwa na mpya. Ni centre ya biashara, kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0783181838